Jamani habari za muda huu mko poa? Me namshukuru Mungu nikonjema sana, ndugu zangu sina mengi kwa leo, ila naomba niwaachuie chakula cha akili kwa leo ili mbaki mnatafakali, nacho ni hiki;
"KINYESI SI MWIBA LAKUNI UKIKIKANYAGA LAZIMA UTACHECHEMEA"
We unadhani ni kwa nini?
No comments:
Post a Comment